Ugandan national anthem "
"Oh Uganda, Land of Beauty
Ewe Uganda!
Mungu akutunze,
Tunaweka kesho yetu mkononi mwako,
Pamoja kama watu huru
Kwa ajili ya uhuru,
Tutashikamana daima.
Ewe Uganda!
Nchi ya uhuru,
Tunakutolea upendo na kazi,
Pamoja na majirani wetu,
Kwa wito wa nchi yetu,
Twaishi kwa amani na undugu.
Ewe Uganda!
Nchi inayotulisha,
Kwa jua na ardhi yenye rutba,
Kwa ajili ya nchi yetu,
Tutasimama daima,
Wewe ni lulu ya taji la Afrika.
Ewe Uganda!
Mungu akutunze,
Tunaweka kesho yetu mkononi mwako,
Pamoja kama watu huru
Kwa ajili ya uhuru,
Tutashikamana daima.
Ewe Uganda!
Nchi ya uhuru,
Tunakutolea upendo na kazi,
Pamoja na majirani wetu,
Kwa wito wa nchi yetu,
Twaishi kwa amani na undugu.
Ewe Uganda!
Nchi inayotulisha,
Kwa jua na ardhi yenye rutba,
Kwa ajili ya nchi yetu,
Tutasimama daima,
Wewe ni lulu ya taji la Afrika.